WEMA SEPETU, KAZI MPYA MUONEKANO MPYA Posted by jfk on March 13, 2013 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Msanii maarufu Wema Sepetu ameongeza sifa nyingine kati ya sifa nyingi alizonazo kwa kuwa CEO wa kampuni yake Endless fame Films. Na katika msimu huu wa joto amekuja na muonekano mpya unaofaa sana kwa msimu huu kwa kupunguza nywele zake Comments
Comments