Bendi kadhaa zimeshiriki na kuonyesha umahiri katika Tamasha la Tusker Carnival 2012. Tamasha hilo ambalo pia lilikuwa na mwanamuziki Kofi Olomide na kundi lake, limeweza kutoa burudani kubwa kwa wakazi wa Dar es Salaam,Picha zifuatazo na video kwa hisani ya blog ya Jiachie
![]() |
Skylight Band |
![]() |
Joseph Kusaga akiwa na Kofi Olomide |
![]() |
Viongozi wa Mapacha Watatu |
![]() |
Wacheza show wa Kofi |
![]() |
Diamond Sound |
Comments