LEO nimegundua maficho ya hii bendi mpya. Nimewakuta hapo wakiwa bizy wakifanya mazoezi kwa ajili ya onyesho lao la kila wiki pale Thai Village Masaki. Kundi zima hili hapaa
| Immaa kwenye Bass Gitaa |
| Allan Kiso, alipitia awamu ya kwanza ya Mapacha Watatu |
| Amose, nilisha wahi kumuona Kalunde huyu enzi hizo |
| Daud kwenye Tumba |
| Baraka |
| Athumani kwenye keyboards...hata B Band aliwahi kupitia |
| Mkongwe Joniko Flower, anajulikana tokea enzi za Chuchu na alipitia Machozi |
| Sam Machozi ndie huyu |
| Sonny Masamba si sura ngeni kwa waliowahi kuwa wapenzi wa Diamond Sound |
| Vyombo vinarekibishwa na Juma |
| Kushaba- Vocalist na meneja, kwa wale wafuatiliaji wa Tusker Project Fame sura hii si ngeni |
| Mary Lucas alipitia Borabora Sound na wapenzi wa BSS lazima wanamkumbuka huyu |
Comments