Thea na Mike lokesheni kwenye kushoot filamu mpya

Thea akimtengeneza, 'my husband wake' Mike kabla ya kuanza shooting

Ndoa yenye furaha haijifichi

Staa wa Bongo Movies, Salome Ndumbagwe Misayo ‘Thea’  na mumewe Michael Sangu ‘Mike’ leo nimewakuta wakiwa 'lokesheni' wakitengeneza filamu inayo 'direktiwa na Mike. Wakiwa wenye furaha sana kuonyesha jinsi maisha yao kwa ujumla yalivyo. Big up guys

Comments