Msanii Simon Regis, ambae anae chora katuni katika Magazeti ya Mtanzania na The African leo amezindua maonyesho ya kazi katika ukumbi ulioko katika maeneo ya Alliance France- Kituo cha Utamaduni wa Kifaransa. Maonyesho haya yataendelea kwa wiki moja. Hii ni mara ya kwanza kwa kituo hicho kuwa na maonyesho ya katuni
| Simon Regis |
| Mimi na Super Star Regis |
| Wadau wakimsikiliza Regis akitoa maelezo kuhusu maonyesho |
Comments