BREAKING NEEWS-MASHUJAA BAND WAPATA AJALI Posted by jfk on September 02, 2012 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Wanamuziki wa Mashujaa Band wamepata ajali alfajiri leo maeneo ya Msasani Club wakitokea kazini,basi lao liligonga ukuta wa club hiyo. Hakuna habari za vifo lakini wanamuziki walioumia walikimbizwa hospitalini...Habari zaidi baadae Comments
Comments