Rais wa Shirikisho la Filamu(TAFF), Simon Mwakifwamba afiwa na mwanae Posted by jfk on March 16, 2012 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Katika mazishi yaliyotia majonzi makubwa Bwana Simon Mwakifwamba leo amemzika mwanae Benjamin ambae alikuwa na umri mdogo wa miaka mitano tu. Pole sana Simon na Mama Benjamin. Mungu alitoa na Mungu ametwaa Jina la Bwana Lihimidiwe Comments
Comments