Barnaba kuzindua Magumegume Posted by jfk on January 24, 2012 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Moja wa waimbaji bora Tanzania,Barnaba, siku ya Jumapili 29, ataiweka wazi single yake ya Magumegume katika ukumbi wa Bilicanas, atasindikizwa na convoy kubwa la waimbaji na wasanii wenzie kwa shilingi 6,000 tu. Patakuwa patamu sana Comments
Comments