Aisha Mbegu ajiunga na Extra Bongo Posted by jfk on July 21, 2011 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Mcheza show maarufu Aisha Mbegu anaefahamika zaidi kama Aisha Madinda amejiunga na Extra Bongo. Aisha alitambulishwa na kiongozi wa Bendi hiyo Ally Choki katika ukumbi wa Mzalendo ulioko Millenium Pub Kijitonyama Comments
Comments