Pombe na muziki

 
Pombe imeharibu show nyingi nzuri za muziki, pombe imewamaliza wanamuziki wengi wazuri, pombe imezuia maendeleo ya kimuziki ya wanamuziki wengi. Pamoja na kwamba inaonekana kama pombe na muziki vina uhusiano, POMBE HAIMFAI MWANAMUZIKI ANAEHESHIMU KAZI YAKE

Comments

Anonymous said…
Meya! natamani wanamuziki wakizazi kipya na hata wale wakongwe wangeweza kuona taswira hii na wakayafanyia kazi maandiko yaliyopo chini yake bila ya shaka yangetoa muelekeo mpya na sura mpya ya muziki
Malenga said…
Wasanii wengi wanaua ubunifu wao kwa kuendekeza hii kitu - pombe-
Anonymous said…
Pombe tamu bwana asikudangante mtu,Hii ni kuongeza "Santimaa"ya muziki !!!!!
DarProdigalSon said…
Muziki hasa wa dansi unachezeka bila pombe?
Ato Bob said…
Basi sawa, wanamuziki hanywa lakini sisi wangeliaji je?