tag:blogger.com,1999:blog-9010020831124948972.post647870881779169058..comments2022-03-27T04:35:14.889-07:00Comments on Sanaa na wasanii Tanzania: SURPRISE YA MWAKA......BABA YAKE NYOTA NDOGO ALIKUWA MWANAMUZIKI MTANZANIAjfkhttp://www.blogger.com/profile/09986950581734789613noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-9010020831124948972.post-92053619584413239902013-04-11T09:21:05.162-07:002013-04-11T09:21:05.162-07:00Mkuu Kitime,kwa kuongezea tu,huyu mzee Abdallah al...Mkuu Kitime,kwa kuongezea tu,huyu mzee Abdallah alikuwa akitupa story kuwa aliwahi kupiga miziki na magoa pia nadhani mbali na Jamhuri jazz alipiga muziki ktk bar moja iliyoitwa kwa Mwangoe,hii ni kulingana na mazungumzo yake,kule Mombasa alipiga bendi maarufu na kubwa sabna enzi zile iliitwa Villa Negro,Kwa kawaida MOmbasa huwa na wanamuziki wakali sana,kwa vyombo hata uimbaji,na wengi wao wanaweza kupiga miziki toka pande zote za dunia,lakini kwa mzee huyu Abdallah musicians wote wa MOmbasa,Nairobi hata ndugu zetu wakongo walimtambua kwa ukali wa gita na pia ma scales makali makali.Mimi nilikuwa nina mipango niende Mombasa siku za likizo zangu toka huku Japan, ili nnikafanye nae mzee huyu session na kuzirekoda kwa kumbukumbu zangu,kwa bahati mbaya nilipowasiliana na huayu mtoto wake mkubwa Juma,akaniambia mzee wao alishafariki,na wanashukuru urithi mkubwa aliowaachia ni miziki ambayo inawasaidia kujikimu kimaisha.Nakumbuka watoto hawa nimewahi kuwabeba sana wakiwa wadogo,nilishangaa kuona wamekuwa wanamuziki mashuhuri Kenya !!! ni habari njema sana.Tumempoteze shujaa mkuu kwa wapiga magitaa wa kitanzania.<br />Abbu Omar,Prof.Jnr(Mwanamuziki)Tokyo,Japan.Anonymousnoreply@blogger.com