tag:blogger.com,1999:blog-9010020831124948972.post5189910667803288893..comments2022-03-27T04:35:14.889-07:00Comments on Sanaa na wasanii Tanzania: LADY JD ATOA WOSIA... RUGE MTAHABA NA JOSEPH KUSAGA WASIHUDHURIE MSIBA WAKEjfkhttp://www.blogger.com/profile/09986950581734789613noreply@blogger.comBlogger7125tag:blogger.com,1999:blog-9010020831124948972.post-468593618254369092013-05-12T23:13:43.824-07:002013-05-12T23:13:43.824-07:00Hawa clouds na jopo lote hilo la akina Kusaga,Ruge...Hawa clouds na jopo lote hilo la akina Kusaga,Ruge nk.wamezidi sana ku dominate ktk tasnia hii ya sanaa,hii inawapa vichwa kunyanyasa wasanii kwa kadri wawezavyo,mambo haya yamekuwa yakisemwa lakini naona wizara husika hajayatilia maanani,Nakumbuka hata MR.Two aliwahi kuwapa ukweli wao lakini hakuweza kuungwa mkono na watu,Mimi naamini ayasemayo Jide hawa watu(Clouds)wamezidi sana kuwa na tamaa na pia kivihujumu vukundi vingi vya sanaa,Naamini hata kuzorota kwa muziki wa dansi Tanzania hii redio ya Clouds imechangia kiasi kikubwa.Cha msingi hapa ni kuiomba wizara husika km Utamaduni na pia wizara ya habari kuweza kuwaonya majitu haya yaliyojaa tamaa na roho mbaya,Mwisho wao utafika tu,hakluna lisilo na mwisho.Mwanamuziki mkongwe Ugaibuni.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-9010020831124948972.post-40982822299791244652013-05-02T03:14:56.989-07:002013-05-02T03:14:56.989-07:00Nakukubali KAMANDA....watashindana lakini hawata ...Nakukubali KAMANDA....watashindana lakini hawata shinda.....Roho zao Nyeusi hata Shetani Anawaogopa....
Tutatekeleza wosia wako.

dedeAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-9010020831124948972.post-42813294269410459472013-05-02T00:20:49.895-07:002013-05-02T00:20:49.895-07:00Pole sana Dada Jay_D na usiwaze wala usiwasikilize...Pole sana Dada Jay_D na usiwaze wala usiwasikilize hao, maana mtu akitenda lililo BAYA wewe tenda lililo ZURI, mfano kama ulivyoamua kusema UKWELI hiyo safi sana!, hatima yake Aibu na watajidharau. Songa mbele mdada...Lawrence Ambrosenoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-9010020831124948972.post-61079866829792339392013-05-01T22:11:22.253-07:002013-05-01T22:11:22.253-07:00Mh! Pole sana dada, inaonekana hawa jamaa wanajisa...Mh! Pole sana dada, inaonekana hawa jamaa wanajisahau sana.....lakini kama unavyoani, iko siko utafanikiwa zaidi yao, riziki ya mtu haizuiriwi, inacheleweshwa tu!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-9010020831124948972.post-83961900238366521012013-05-01T11:11:25.444-07:002013-05-01T11:11:25.444-07:00pole sana mdogo wangu kwa hayo unayopitia mungu we...pole sana mdogo wangu kwa hayo unayopitia mungu wetu ni mwema atakupigania utashinda soma KUTOKA 14:14muhozi bunuranoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-9010020831124948972.post-18325229108654986702013-05-01T10:21:33.486-07:002013-05-01T10:21:33.486-07:00Kaza hapohapo. Wakongwe twasema kua uyaone. Wape m...Kaza hapohapo. Wakongwe twasema kua uyaone. Wape methali hii : MUNGU HAKUPI NGUVU NA MBIO, UTAUA WENZIO.

Babloomhttps://www.blogger.com/profile/16871946398681714897noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-9010020831124948972.post-11503300052447334792013-05-01T07:17:12.832-07:002013-05-01T07:17:12.832-07:00DADA JIDE HUO NDIO USANII, KWA KUWA MUNGU NDIYE NG...DADA JIDE HUO NDIO USANII, KWA KUWA MUNGU NDIYE NGAO KWA WAMKIMBILIAO NA WATENDA HAKI BASI ITABAKIA HIVYO NA KILA MTU NA RIZIKI YAKE- NIMESHUHUDIA SKYLIGHT BAND WANALAZIMISHA IJULIKANE LAKINI WAPI!!!!!!! KABLA YA KUANZA KUSEMA NILIVYOONA WAIMBAJI WAKO JONICO NA MWINYI WAMEHAMIA SKY NIKAJUA TU KUNA MKONO WA MTU. ACHA WAENDELEE NA ROHO ZAO MBAYA NA DAIMA ZITAENDELEA KUWA MBAYA KWANI BIBLIA INASEMA: "NA MWENYE UCHAFU NA AENDELEE KUWA MCHAFU". NA JK NYERERE ALISEMA:"MTU AKIANZA KULA NYAMA YA MTU KAMWE HATAACHA."Sports supporthttps://www.blogger.com/profile/15186053820997652694noreply@blogger.com